KARIBU SHINIZER RECORDS

Shinizer Records ni Blog namba 1 Tanzania inayojikita kwenye Muziki wa Kinyiramba, Singeli, Bongo Fleva, Asili na Gospel.

Tulianzishwa na msanii na muandaaji wa muziki Shinizer TZ kwa lengo la kuinua vipaji vya vijana wa mikoani na kuwaunganisha na mashabiki wao kwa njia rahisi ya kudownload na kusikiliza nyimbo online bure bila matangazo mengi.

Tunachokuletea:

  • 🎵 Nyimbo Mpya za Bongo Fleva, Singeli, Asili, Gospel
  • 🎥 Video Mpya na Audio Kali
  • 📰 Habari na Interview za Wasanii
  • 🎤 Nyimbo za Shinizer TZ, Daniel Mkurya na Wasanii Wengine

Tupigie au tuandikie kupitia:

YouTube: Shinizer TZ
Facebook: Shinizer Tz
WhatsApp: +255 781930024
Email: rojaemmanuel8gmail.com

Asante kwa kutembelea Shinizer Records - Nyumba ya Muziki wa Kinyiramba!