SHINIZER TZ_-_TABASAMU:
Sikiliza Wimbo mpya wa shinizer Tz wa tabasamu sasa na pakua wimbo unaolenga Tabasamu katika maisha na furaha sasa.
SHINIZER TZ - TABASAMU
Exclusive | Shinizer Records 2026
Msanii mahiri wa Bongo Fleva kutoka Tarime, SHINIZER TZ ametuletea ngoma kali ya mapenzi inayoitwa TABASAMU. Ngoma ambayo inazungumzia tabasamu la mpenzi linaloponya moyo. Beat kali kutoka Shinizer Records.
🎧 Sikiliza Hapa:
Download ukibonyeza hapo juu itapakua moja kwa moja na download zako zitaongezeka Mdundo.com
Artist: Shinizer TZ
Title: Tabasamu
Label: Shinizer Records
Distributed by: Shinizer Records
0 Maoni